Ni siku ya 31 toka ulipotutoka kimwili, kwani kiroho bado uko nasi.
Unakumbukwa kwa mapenzi ya majonzi na mama yako Edith,
Wanao
Charles, frank na Bonny
Wajukuu
Margareth, Jane na Joan
Wadogo zako
Esther, Rose, Peter, John, Veronica,
Unakumbukwa kwa mapenzi ya majonzi na mama yako Edith,
Wanao
Charles, frank na Bonny
Wajukuu
Margareth, Jane na Joan
Wadogo zako
Esther, Rose, Peter, John, Veronica,
David na ukoo wote wa Kisaka.
Mkesha wa arobaini utakuwa tarehe 23/07/2010 Kijijini Lusanga
TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA BWANA LIHIDIMIWE
AMINI!
Mkesha wa arobaini utakuwa tarehe 23/07/2010 Kijijini Lusanga
TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA BWANA LIHIDIMIWE
AMINI!
Nani anakumbukwa?
ReplyDeletePoleni sana. Lakini naona mmesahau kuandika jina la marehemu.
ReplyDeleteNa kweli,
ReplyDeleteAnkal Michuzi mbona hapa umechemsha kwa kutangaza shukrani za msiba ambapo aliyefariki hajatajwa?
Pole na majukuu mengi pamoja na safari nyingi.
Mdau Masaki.