Wateja wakipita karibu na gari la Zimamoto kurejea kwenye benki kutoka upande wa bustani ya Jiji walikokimbilia baada ya hitilafu ya umeme kutokea kwenye Makao Makuu ya Benki ya NBC, Barabara ya Sokoine Drive jijini Dar leo.
Wateja wakiwa langoni wakisubiri kuingia ndani ya benki baada ya kuarifiwa kuwa hatari hiyo ya moto imedhibitiwa. Hakuna aliyedhurika na uharibifu wa moto haukuwa mkubwa

Copyright 2006 - 2009 © ISSA MICHUZI. All Rights Reserved.
ReplyDeleteOyaa ankal badilisha © yako iwe 2006-2010 au mimi ndo nimechemka,
muongozo
Mdau Mark B.