Home
Unlabelled
libeneke la benki kuu sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Benki Kuu imefanya vizuri mwaka huu kuwa na banda lake kwa ajili ya kuuonesha umma shughuli kama hizo za noti feki.
ReplyDeleteAnkal naona konoz ipo kwa mwanamuziki mwajiriwa wa BOT Vicky Kamata
ReplyDeleteATM za bongo,nilishawahi kutoa hela,ikatoka hela feki ya noti ya elfu 10. kwenye ATM ya barclay kinondoni karibu na soko la tx
ReplyDeletehawana lolote.
ReplyDeleteuchumi wa wananchi uko doro.
madafu yanazidi kuanguka thamani.
hovyoooo...
bora crdb iombwe idhibiti inflesheni.
UNCLE KONOS KWA KIMWANA DUH UNATISHAAAAAAA.PIA TEMBELEA NA BANDA LATWIGA BANCORP UONE VITUS.PIA NAOMBA BOT WATOE KOZI YA JINSI YA KUKUNJA NA KUTUNZA PESA KWANI PESA ZINACHAKAA SANA WATU WENGI HAWAJUI KUZIWEKA
ReplyDeleteww kiumbe unayesema ATM imetoa fedha feki kweli ww hamnazo....
ReplyDeleteJamani jamani wanunue kalamu za kungudua noti bandia hiyo Taa wanayotumia ina kazi yake haswa kwenye mambo ya upelelezi na ukiitumia kwenye mwanga huoni kitu ndio maana inakazi tofauti sio kugundua pesa mbaya jamani fungukeni MACHO WANA C.C.M
ReplyDelete