Dk. Narriman Jidawi akionesha chaza na lulu kwenye banda la maonesho la Chuo Kikuu cha University of Dar es salaam ambapo anakupa undani wa shughuli za uvuvi wa chaza, utengenezaji wa urembo kwa kutumia lulu pamoja na mwani ikiwa ni sehemu za juhudi za kuendeleza wananchi wa Zanzibar katika biashara ya maliasili za baharini
Dk. Jidawi akionesha mwani katika banda hilo la UDSM

namna ya kutengeneza urembo kwa chaza na lulu


sabuni zinazaozalishwa kwa kutumia mwani
sponji
chaza walio hai wapo maoneshoni hapo katika banda la UDSM

MAMBO YOTE YA SHUGHULI HZI UTAZIPATA HAPA:http://www.ims.udsm.ac.tz/research.php




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    Those real pearls are very expensive...mali asili tunayo hatujui kumarket tu.. Utajiri wetu bwata bwata.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2010

    Hongera sana Dr. Jidawi. Tumewasiliana kwa email mara nyingi nilikuwa na picha tofauti kabisa kichwani. God bless you so much na endeleza jitihada za kuhakikisha waTanzania visiwani aka waZanzibari wana faidi rasilimali zao.
    Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2010

    This is what we need...this is the way forward...initiative! Wa-TZ tuanze kuchukua initiative sisi watu wenyewe kwa sababu duniani kote maendeleo yanaletwa na watu; asasi na taasisi kazi zake ni kuwawezesha watu. Naomba tu niseme kuwa katika rasilimali zote za Tanzania yetu RASILIMALI KUBWA KULIKO ZOTE NI ARDHI. Wenzetu wanauana kugombania ardhi sisi tuna ardhi inakaa bure kwa ajili ya uvivu, wivu, ulevi na ukosefu wa moyo na akili ya kujituma. Kazi kungoja kila kitu tufanyiwe tu. TUAMKE JAMANI!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2010

    Dr mwenyewe ndio lulu kubwa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2010

    i want the liwa soap ASAP, contact please.

    ReplyDelete
  6. ankal, kwenye picha ya dr jidawi kuna utata. "chuo kikuu cha university of dar es salaam" ulikua una haraka ama umeteleza ukatumia tafsiri "sisisi"?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...