Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Gado aise kiboko, hapo amesahau kumvalisha huyo zuma skafu tuu!
ReplyDeleteAnywaym hizo picha tatu ni za wake zake, ya kwake inawatazama! Kakanyaga jabulani, kashika vuvuzela huku kijasho chembamba kinamtoka kwa kuomba dili lingine la olympics!
Gado respect man!
Huyu naye kazidi ni wivu au chuki na wasauzi? let them breath and enjoy their victory of hosting a well organize world cup game pleaeeeas
ReplyDeleteI always enjoy Gado cartoons. Kuna wakati alikua na website yake (www.gado.co.ke) lakini imekua ikileta kwikwi kwa muda mrefu sasa (mfano .... oops! our google chrome could not find www.gado.co.ke).
ReplyDeleteAnkal na wadau wengine, nisaidie kutambua tatizo liko wapi.
Huyu Gado amekaa sana Kenya mpaka amekuwa na wivu wa kikenya. Unafikiri kuandaa kombe la dunia mchezo, when are we going to leran to give credit where it is due ? South Africans should be commended and not ridiculed for what they were able to accomplish.
ReplyDelete