Wapambe wa wagombea wakirindima kwa shangwe nje ya viwanja vya mwenge sekondari mara baada ya msimamizi mkuu wa uchaguzi huo Parseko Kone kutangaza washindi wa nafasi za ubunge tiketi ta UWT ambapo Mh. Martha Mlata alishika nafasi ya pili.
Mmoja wa wananchi wakimpongeza Diana Chilolomara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza jana usiku.


SASA HAWA NI TAYARI WABUNGE AU INAWABIDI WAENDA KUSHINDANA KITAIFA DODOMA?
ReplyDelete