Wanariadha kutoka mikoa mbalimbali wakichuana katika mbio za mita 1500 kwa wanawake wakati wa mashindano ya riadha ya taifa yaliyoanza kutimua vumbi kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2010

    Kweli Bongo tambarare hadi leo kuna wanariadha wanakimbia pekupeku tena kwenye mashindano ya KITAIFA?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2010

    anon wa kwanza unashangaa nini wakati kuna mwanariadha ashawahi kukimbia peku peku kwenye Olympics ... na akashinda.

    Hakuna sheria inayomlazimisha mkimbiaji kuvaaa viatu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...