Kiongozi wa gwaride Meja Wilbert Kuzilwa akiongoza gwaride leo katika viwanja vya mnazi mmoja,jijini Dar kwaajili ya maadhimisho ya siku ya mashujaa hapo julai, 25
Askari wa JWTZ,Koplo Mshamu Kindamba akipuliza Tarumbela leo katika viwanja vya mnazi mmoja ikiwa ni mazoezi kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Mashujaa hapo julai 25 ,2010.ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais Jakaya Kikwete.
Wakiwa wamejipanga vyema kabisa.(Picha na Mwanakombo Jumaa)


MBONA HAWA JAMAA WANAONEKANA NJAA !! MIMI NASHANGA SANA HAWA VIONGOZI WEDI !KWELI HAWAZEZI WAPILA KILA MTAZANIA KIMA AMBACHO ANAWEZA KULA KUPANGA NYUMBA NA KUISHI!! KWA HALI YA SASA KIASI CHA CHINI ATLIST LAKI NNE !!
ReplyDeletehivi hiyo bendera ya hawa jamaa ikoje na ina maana gani? hapa inaonekana lakini imejikunja nashindwa kuielewa!
ReplyDeletemaafande wetu wana moyo sana !! kwa hali hii bora nijiajiri mwenyewe
ReplyDeleteMbona sioni kama wamechoka washikaji ? Tuwache kasumba .
ReplyDeleteUkilinganisha na majeshi ya sehemu nyengine ya Afrika hawa wameshiba kabisa !!
Hata mie sioni kama hwa jamaa wamechoka hta kidogo! Basi tu sie tunapenda kuponda kila kitu cha kibongo.
ReplyDeleteHivi siku za mashujaa tunazo ngapi? kwa maana mie nilizani siku y mshujaa Tanzania ilikuwa ni tarehe moja mwezi wa tisa ya kila mwaka.
HAPANA SIO KUCHOKA:
ReplyDeleteASKARI RAZIMA AWE FITI SIO FATI. IRI AWEZE KUKIMBIA MBIO MAIRI ERFU MBIRI.
HAMUWAONI MAJESHI ENDEREVU KAMA MAREKANI NA INGEREZA?