
Kwanza pongezi kwa kutuktanisha sisi wana jamii.
Huyu jamaa aliyekua kwenye picha alikua akiambaamba na barabara ya mwenge ubungo na baadae alielekea sinza. Alituaambia yeye haogopi soko huru la Africa ya mashariki na amejianda vilivyo na ndiyo maana anabendera zote hizo.
Nimeona tu niwashirikishe na wadau wenginge waone mambo yalivyo moto sasa hivi na hili jambo jipya la EAC.
Ni hilo tu Mzee.
Kazinjema.

Jamani watanzania!!!!!! bendera ya USA kaiweka vizuri bendera ya Tanzania anaipeperusha mbele nyuma sijui ndani nje. Mistari upande wa mlingoti inatakiwa iwe chini sio juu......
ReplyDeletehii mikokoteni hafahi capital city jamani ! ndo hinayo sababisha ajali
ReplyDeletelol!
ReplyDelete