Miss temeke katika mazoezi ya mwisho mwisho.
Picha na habari na Jane John
Mwandaaji wa miss TEMEKE BEN KISAKA wa BMP COMPANY ametangaza zawadi za washindi katika shindano hilo. Amesema mrembo atakayetwaa taji la miss temeke atajinyakulia shilingi milioni moja na nusu, mshindi wa pili shilingi milioni moja ,mshindi wa tatu laki nane na mshindi wa nne na tano watapata laki tatu wakati waliobaki wote watapata laki moja na nusu kwa kila mtu.
Shindano hilo imnafanyika leo katika ukumbi wa TTC CHANG'OMBE na litapambwa na burudani kutoka bendi ya TWANGA PEPETA na B BENDI ya BANANA ZORRO.

Sasa huyu msela hapo anajiita nani..mwanaume au..kwa nn kama watanzania mnapenda sana umiss msitafute watahini wakike basi...disgusting
ReplyDeleteukitaka kujua nchi fulani inaelekea kuanguka/defalt ni tanzania...sijawahi kuona nchi yeyote inayokuwa na ma miss kila sehemu,kila siku utasikia miss ilala,ubungo,etc kesho miss ikulu sijui?
ReplyDeletehivi watanzania tunamatatizo gani?
hivi tulishakoswa kazi kabisa na tumebakiza tu mambo ya umiss?
Nionavyo taifa hili linaelekea kuanguka kabisa.
michuzi ushauri wa bure anzisha blog nyingine spesho kwa ajili ya mamiss maana vimezidi umezipa kipaumbele sana hizi habari za mamiss utadhani nchi yetu haina mambo mengine ya msingi kwanza haya mashindano sijui yana faida gani ya jumla kwa nchi
ReplyDeletejamani chukueni hizi sheree za umiss kama ajira. kwa hivi sasa watu wengi hawana ajira so akuna ubaya kutengeneza pesa kwa kutumia umiss. vingine pia huu umiss ni entertainment. tafadhali michuzi endelea kutuonyesha hizi picha za mamiss. picha zao zinapamba globu yako.
ReplyDelete