Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini akipeana mkono na mwananchi wa jimbo lake mara baada ya kukagua kadi ya mwanachama huyo wakati wa Uzinduzi wa Shina la Pili la wakereketwa wa CCM,tawi la Mitunduruni alipofanya ziara ya kukagua Vikundi jimboni mwake
Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa Shina la Pili la wakereketwa wa CCM,tawi la Mitunduruni alipofanya ziara ya kukagua Vikundi jimboni mwake
Mh.Mohammed Dewji akiwaapisha wanachama wapya wa CCM baada ya Kuzindua tawi Jipya la CCM mkoani Singida katika kata ya Mitunduruni.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...