Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2010

    KWA WALE WENZANGU AMBAO TULIONDOKA NYUMBANI NA KISWAHILI CHETU CHA SOKOMOKO,SIKU YA KURUDI TUTASHINDWA KABISA KUONGEA.HUYO MDADA AMENIACHA HOI ALIPOTUMIA MANENO "WACHORONGAJI MBADALA" WAMEANZA "KUCHORONGA".AMA KWELI NIKO MBALI NA NYUMBANI.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2010

    Hii kitu mbona kichefu chefu kitupu,inafunguka kwa taabu sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2010

    Wezi wengi kwenye hilo shirika, wamekula kiwanda chote cha KMT Moshi, hata jengo haliwezi kupakwa rangi na msaada wote huo umekwenda na maji, vya bure vinaishia majini tumeshindwa hata kuviendeleza, sasa hao wawekezaji wa nje wanakuja wachukuwe kila kitu sisi tubaki watupu. Lakini ni afadhali vijan watapata ajira na watalipwa mishahara.Lakini nyie watu muache wizi.Watu wanaiba wanasahau kwamba umepata lakini angalia waliokuzunguka hawana kazi, kuanzia ukoo wako wewe mwenyewe unaibia shangazi zako , wajomba zako, watoto wako na wajuu wako. Na wote hawan kazi ni watu wanlalamika tu hakuna kazi wakati kulikuwa na kiwanda kinaajiri watu 400, sasa kina watu 20. Sasa ni watu wangapi wangekuwa na hiyo ajira, baba zao wamewaibia na kuwaacha watupu na leo utawaona kwenye mtandao wanlalamika lakini ni wezi tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2010

    mmh nimefuata link nikakutana na kwikwi ya mwaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...