Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    ankal ni wewe uliyepanda juu ya gari kwenye uokoaji naona ze fulanaz kama yako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    Watafika saa ngapi hospitalini na foleni kali za bongo? Ambulance zipo wapi na zinafanya nini, zilitakiwa kuonekana sehemu ya tukio na kutoa huduma ya kwanza, ndo mana unasikia mtu amefia njiani on the way hospitalini coz mambo madogo kama haya hayatiliwi akilini. Huku nchi za wanzetu ajali ikitokea,utaona magari ya mapolisi,magari ya zima moto na pia magari ya huduma ya kwanza kibao and si wanazunguka tu wanafanya kazi kwa mda huo huo. Sasa hapo nani atajua kuna watu wanakimbizwa hospitali kupisha mtu aokoe maisha yake, au watabakia kusubiri foleni inayoenda polepole. Anyways, that's my point of view.Instead ya ufisadi, viongozi waendeleze mambo ya muhimu kama haya.
    Mdau,
    USA

    ReplyDelete
  3. Kweli Bongo ni Bongot tuuu...hata ufanyeje inabaki kuwa Bongo tuu. Yaani watu wameumia baada ya kuwakimbiza hospital kwanza, wao kwanza mahojiano, duuh...!!! Wenzetu kitu cha kwanza kabisa huduma ya kwanza mhimu sana kuliko mambo yote, pia jiji kama Dar ajali kama hii gari la kubeba wagonjwa hata moja halijajitokeza?? Hivi mbona tukiambiwaga bado tupo zana za mawe, huwa tunakasirika sana, hawakosei kabisa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    Hilo gari lina isolation switch lakini nasikia kila mtu anatoa maoni yake kuhusu kulizima.
    Switch hiyo hutumika wakati wa dharura na kuzuia uwezekano wa kulipuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...