greets Steve Kanumba and Ray Zenji during the ZIFF in the Isles
Claude (in green) and Ray (right) with friends in Zanzibar. For More Pictures
For many years ZIFF has made it a priority to provide a platform for Tanzanian film makers at this International Film Festival. ZIFF 2010 will again offer the chance to local film makers to exhibit their works and show them to the world of filmmakers and stake holders.
The year’s festival will feature Tanzanian Film Stars like:
The year’s festival will feature Tanzanian Film Stars like:
Steven Kanumba, Cherrie Yakubu Khamis and Vicent Kigosi (Ray)…
From 09.00 on 17th July at The House of Wonders
09:00 - Olapong (143min) Star: Tino, Mzee Ulotu, Hashimu Kambi
11:30 - Babra Part 1 (90min), Star: Haji Adam-Baba Haji
13:30 - Babra Part 2 (65min), Star: Haji Adam-Baba Haji
14:40 - Huba (180min), Star: Mzee Ulotu, Neema, Kenyata
From 09.00 on 17th July at Africa House
09:00 - Pay Back Part 1 (75min), Star: Kanumba
10:20 - Pay Back Part 2 (70min), Star: Kanumba
11:20 - Black Sunday (100min), Star: Monalisa, Mlela, Kanumba
13:30 - Nani (95min), Star: Deo, Baby Madaha, Renatus
15:10 - Happy Couples (100min), Star: H Baba, Yusuph Mlela
16:50 - Usaliti (105min), Star: Omar, Ayesha, Funi
Also on…
Workshop on African dance with the super-talented
09:00 - Olapong (143min) Star: Tino, Mzee Ulotu, Hashimu Kambi
11:30 - Babra Part 1 (90min), Star: Haji Adam-Baba Haji
13:30 - Babra Part 2 (65min), Star: Haji Adam-Baba Haji
14:40 - Huba (180min), Star: Mzee Ulotu, Neema, Kenyata
From 09.00 on 17th July at Africa House
09:00 - Pay Back Part 1 (75min), Star: Kanumba
10:20 - Pay Back Part 2 (70min), Star: Kanumba
11:20 - Black Sunday (100min), Star: Monalisa, Mlela, Kanumba
13:30 - Nani (95min), Star: Deo, Baby Madaha, Renatus
15:10 - Happy Couples (100min), Star: H Baba, Yusuph Mlela
16:50 - Usaliti (105min), Star: Omar, Ayesha, Funi
Also on…
Workshop on African dance with the super-talented
Kori Arts at 16:00 and 17:00 in the Mambo Club (Old Fort)
Also in the Mambo club after the awards at 22
:00, we’ll all be getting down to Kidumu, the Burundian music superstar followed by the very best breaks and beats brought to you by the ZIFF DJs!
AND
Awards night is tomorrow night….
Also in the Mambo club after the awards at 22

AND
Awards night is tomorrow night….
watch this space for the winners!
Laura Martin-Robinson
Press Officer
Zanzibar International Film Festival
Ngome Kongwe
PO BOX 3032
Zanzibar
Tanzania
Tel: 0782689845
Laura Martin-Robinson
Press Officer
Zanzibar International Film Festival
Ngome Kongwe
PO BOX 3032
Zanzibar
Tanzania
Tel: 0782689845
ankal kwa nini kila kitu ni mzaha, hapo umekosea kusema mama Shadya anasalimia Kanumba, ulitakiwa kusema Kanumba anamsalimia First Lady.
ReplyDeleteMbona unakiuka itifaki?
(US Blogger)
km kuna kaka nilikuwa namzimia kwa jinsi alivyo ni cloud! lkn kwa jinsi alivyo sasa hata havutii tena! Manyama uzembe yamezidi! kaka piga zoezi afu acha kula ovyo hizo nyama choma! na wewe Ray naona unafata mkondo wa cloud!tumbo hiloo!Pigeni zoezi bwana!
ReplyDeleteSAMAHANINI KWANZA,HIVI HUYU USTADH ISSA NDIO KAWA CLOUD SASA TOKEA LINI? HUYU JAMAA NILISOMA NAE CLASS MOJA SIO NA ALIKUA IJUMAA HAJI SHULE ILA KUJA KUTOA MAWAIDHA TU.NA ALIPOLAZIMISHWA KUJA HUJIANGUSHA KUWA ANA MAROHANI SHULE NZIMA TUNAKIMBIA.SASA NASHANGAA AMESHAKUA CLOUD-VIPI NA YULE PACHA WAKE USTADH HALFANI KAWA NANI? SAMAHANI WADAU TUPO NJE YA NCHI NDIO MAANA(thierry hand ball)
ReplyDeleteKWANI KILA CINEMA INDUSTRY IITWE SOMETHINGWOOD? ATI BONGOWOOD, BY THW WAY HOLLYWOOD ILIKUWEPO HATA KABLA YA INDUSTRY YA CINEMA KUSHAMILI PALE NI JINA LA ENEO LILE BAADA YA BIASHARA YA CINEMA KUSHAMILI SO IKIWA JINA HILO NI SYNONYMOUS NA CINEMA LAKINI SI KWAMBA JINA HILO LILIKUJA KWA SABABU YA CINEMA LA HASHA SO TUACHE MAMBO YA BONGOWWOOD WE CAN COIN OUR OWN NAME AND STILL BRAKE THE ROOF CEILING
ReplyDeleteRay, Ray, Ray ndugu yangu!!!! ulikuwa mzuri wa kuvutia mbona umejiachia saaaaaaaana. Hilo tumbo noma, noma kupita kiasi!!! igeni mfano hata kwa wenzenu Nolywood na Gholywood
ReplyDeletesuruali ya Ray mimi homa,kama kioo.
ReplyDeleteZIS IS HOW WE MEASURE WEALTH OR SUCCESS ECONOMICALY IN Tz,so hawa jamaa wakipunguza maoils na carbohydrates za MATUMBONI mwao zei wil no longer b seen as saksesful pipo in our Tz,na hilo jina la BONGWOOD kwa wale wasio hom linakera hata kulisoma2,je kulitamka mnazani2najiskiaje!!!???
ReplyDeleteSipendi kuwa -ve,ila inapobidi...!!!
Jamani
ReplyDeleteKama kweli mnataka kuiga majina ya miji ya wenzetu basi muige na how they look after themselves. maana watu mmejinenepea kama mababu wakati ni vijana tu. angalau Kanumba anajitahidi kidogo anaonekana na kijifua, ingawa he luks older than his age(km kweli 1984).huyo RAY alikuwa very handsome lkn sasa mmmh amekuwa km mgonjwa wa pressure. angalieni hao wa HOLLYWOOD muige maumbile pia jamani. hauhitaji pesa kufanya Push-up au sit-ups nyumbani kwako, pia hauhitaji pesa kuwalk au run in the streets.You need to learn that in media business your Luks count a lot. people will buy your video for just your luks.... mbuta na ngai
Boramngejiita Bongewood kwa vitambi hivyo.
ReplyDeleteKanumba ni wa 84 ? huyu si ndie yule alikua anaact kwenye sijui nini kwenye radio alikua mtoto wa mtu fulani sijui ulikua mchezo wa radio yule baba yake alikua anaact kama ana manenoo sanaan...mama yake ndio alikua anamuelewesha huyo baba kila siku na huyu alikua mtoto wao....au sio yeye? Kama ndio yeye siku zimeganda
ReplyDelete