Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akitoa zawadi ya simu aina ya Blackberry yenye thamani ya dola 800 kwa mshindi wa bahati nasibu ya papo kwa hapo katika onesho la mavazi lililofanyika Ijumaa usiku hoteli ya Zanzibar Serena Inn. Kwa picha hii na nyingine kibaaaaaoooo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2010

    Michuzi na wewe, ungetuwekea onyesho la mavazi bwana huyu Mwamvita tumeshamjua au ndio sponsor wa blogu yetu?

    ReplyDelete
  2. Anon. wa kwanza, kuna watu kwenye hii blog hawakauki, wewe ukimuona ruka tu stori endelea na mengineyo otherwise hutaachakutuma meseji za aina hiyo.

    ReplyDelete
  3. hawa jamaa nawapa hongera sana. yani sis watz angalia akili zetu zimechukukuliwa na mambo gani..jamaa kaweka picha za miguu ya mwanamke comment kibao..lakini kwenye jambo lamaa kama hii hakuna anayetaka kulizungumzia...mambo muhimu kama haya watu wayahimize...nawapa sana jamaa hongera kwa kutoa mchango mkubwa kama huuu....dini zote zinazungumzia..serving the humanity...not seating and lay back..huu ni mfano mzuri kwa mwenye akili.vitengo vingi vya jamii vimesahaulikaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...