Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2010

    kaka michuzi ufanyavyo siyo sahihi sisi sote ni watanzania na unajua kuna mtanzania mwenzetu kule BBA anasaka $2000000 lakin sijaona ushiriki wako ktk kuwahamasisha watanzania jinsi ya kufanya ili kuhakikisha hizo pesa zinakuja kwenye mzunguko nyumbani na hatimaye kuleta athari chanya ktk uchumi wetu. yangu ni hayo tu kwa leo km uko makin pls over pls hamasisha watanzania kwa hilo. NAKUSHURU SANA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2010

    Kupiga picha pekee na mastaa wa kiwango cha juu kama huyo haitoshim,try to show them what you have and what your country can offer.As you know those guys are so rich rather than taking photos!!!
    Mdau
    Gezaurole.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2010

    yaah tuache ushanba huo,huku kwanza ni kawaida unaweza kujaza hata ulbum 100 za hao,wasanii,prof ni mtu wangu na ni mmoja ya niliowagundua but ki ukweli kwa sasa anachuja,ukifananisha na jinsi alivyoanza nadhani kila mtu ni shahidi,ukikumbuka enzi za chemsha bongo,ndio mzee,bongo dar es salaam na huu upuuzi wa siku hizi anaoimba,sawa muziki ni biashara lakini inabidi tukumbuke kuwa mashairi ya tupac maprofesa wanatumia vyuoni huku,hopo y`all dig whattamean

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...