Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2010

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!sasa huu ni ukorofi mh.paul huku hakuna uvumilivu watakuua!utabiri wako hukohuko ebo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    Ankal! samahani kwa kwenda nje ya maada kidogo,.natafuta picha Maj Gen Mwita Chacha Marwa "Kambale",.kama unayo kwenye makablasha yako naomba uichapishe kwahisani yako.
    Natanguliza shukrani

    Lut Wambura
    KJ520

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2010

    kwi kwi kwiiiii mama wee mbavu zangu lol! hii kubwa kuliko nimecheka weeee hadi nimelia big up mchora katuni

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2010

    ushirikina mtupu !!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    Mdau, Lut Wambura, KJ520

    Picha za Gen Mwita Chacha Marwa "Kambale" unaweza kuzipata kwa ke-search kwenye google.

    Just open "www.google.com ",andika Gen Mwita Chacha Marwa "Kambale" kwenye search engine, click juu kwenye "Images" and then click "Google search ". hapo utazipata!

    Mdau, MH

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2010

    Mdau, MH nashukuru kwa maelekezo yako, kabla sijafanya uamuzi wa kuomba msaada kwa Ankal Michuzi nilifanya ivyo ulivyoelekeza lkn bila mafanikio,ukifanikia kuipata waweza mtumia Ankal nae ataipublish.
    Natanguliza shukran.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...