Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Bw. Eric Shigongo, akitoa mada katika mkutano wa Diaspora wa nchini Marekani, uliyofanyika kwa muda wa siku nne kuanzia Julai 1-4 katika ukumbi wa Marriott, Minneapolis, nchini Marekani, ambapo mada mbalimbali zilitolewa na Wat
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Bw. Eric Shigongo akiwa na Balozi Ombeni Sefue katika ukumbi wa Marriott, Minneapolis, nchini Marekani.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    Tuletee video basi tuone na tusikie aliunguruma nini.

    ReplyDelete
  2. Ha ha haaa...na kweli anatoa MADA... Ukumbi wote kaachiwa peke yake tu...hata moderator hayupo!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    Ingekuwa vema kama yaliyozungumzwa na yaliyoazimiwa, kama yapo, yangemwagwa hadharani. Zaidi ya hapo ni kama wahudhuriaji walikwenda Ulaya kuburudika, kupiga jungu au kufotoa mapicha tu. Hii itasaidia wengine na mikutano mingine ya kibongo siku zijazo. Ni hayo tu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    Bondo na diaspora utadhani Wabongo nje wana fedha za kutisha. Kwa mdomo tu, tumeshinda. Ingawa karibu asilimia 90 ya wabongo nje walala hoi, pay check to paycheck. Uongo?

    ReplyDelete
  5. Kichwabuta MwendantwalaJuly 09, 2010

    Bw. Shigongo, Vipi hayo ni maandalizi ya kumng'oa Mheshimiwa Chitaliro ??? Maanake unatisha kwani hatujui huko ulienda kuongelea nini au ulichaguliwa na nani kwenda kutoa mada ???? Mi nadhani huo ni MKWARA wa kujing'alisha BINAFSI ili uje uukwae vizuri UBUNGE kwa MATANGAZO hayo !!!!!!! Sasa bado magazeti yako hayajaanza kukupamba zaidi ya ile barua uliyoandika ukiwa huko huko Marekani !!! Jitahidi MWANANGU labda huenda mwezi wa Novemba ukaingia ndani ya jengo la BUNGE kwa MBWEMBWE !!!! Ila magazeti yako yasikupambe hata pale ambapo hufai kupambwa !!! HIZO NDIO NASAHA ZANGU na nimezitoa kwa MOYO wa kiadilifu na mapendo !!!! KILA LA KHERI BW. SHIGONGO KTK HARAKATI ZAKO ZA KUTAKA KUUKWAA UBUNGE ili umuondoe MHESHIMIWA CHITALILO (MB)

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2010

    Tukakua lini wandugu? majungu hayatajenga nchi. Kama kuna watanzania wanakutana kuongea maendeleo ya nchi yao kuna ubaya gani? madongo hayajengi nchi, siasa haijengi nchi bali watu wanajenga nchi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2010

    Nani asiyeishi na pay check to pay check...hata wafanya biashara wanategemea pay check toka kwa wanunuzi...tumia ubongo wewe Mtindiga...!! Pay check inategemea ni ya kiasi gani...!! Kwani wewe ukinyimwa mshahara wa miezi miwili si utaishi kwa ndugu zako ukaombe hifadhi? Hebu acheni kuwasumbua watu walioko majuu acheni wivu..huo ni wivu....kila kitu ni kulaumu tu watu wa majuu...wamechagua hayo maisha waacheni...na baadhi yenu ndo wakwanza kila siku...ohh niletee laptop..or ninunulie camera cybershot, ohh..bati linavuja...ooh mtoto amekosa ada...ninyi wenye maneno ndo hata hamna kitu cha maana sana...kelele tu..maisha ni popote....na sasa ngoja Dual citizenship ije ili mupasuke kabisa vichwa....maana wenzenu watakuwa na magamba mawili..tena mtu akifuma lile la Marekani nchi karibi 100 duniani huhitaji kugongewa visa..unapata tu muhuri wa admission airport...kila mtu anaishi anapotaka...Acheni watu watanue...wewe ishia kupanda daladala iliyojaa harufu ya vikwapa, midomo, soksi, pombe na sigara....!!
    Mdau, NYC, USA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 10, 2010

    Mdau, NYC, USA umenikuna haswa, kula tano. Watu walioko Nyumbani huko Tanzania wana wivu sana. Wanaponda maisha ya nje, hasa huku Magharibi, lakini ki-ukweli kila mtu anatamani aje. Utasikia nitumie invitation nije nitembee tu. Ukweli anataka aje azamie.Oooh jamaa kakaa miako 10 nje hana kitu home(bongo).
    Haya ni maisha ya mtu, ameamua kuishi nje, nyumba, magari, assets, stock exchange nk zake zote ziko alikoamua kuishi. Tatizo ni nini?na akifa, akiamua kuzikwa huku ni uamuzi wake, mlioko nyumbani acheni wivu.
    Mdau
    MD,US

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 10, 2010

    Mwezi uliopita tulimkumbuka Amina Chifupa miaka mitatu baada ya kifo chake. Tunaendelea kuwalaani wauza mihadarati na wale waliompiga vita Amina katika uhai wake kwa ajili hiyo. Mwenye maco haambiwi tazama!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...