Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2010

    Based on a true story?!!!, the problem with these people they come with a picture in their heads of what is in Africa and ignore what they really see s'times. On that cover should one of the best stadiums in the world!! show how well the tournament was organised but i doubt that you are going to seen any of that.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2010

    Anon wa kwanza naona hujaelewa kichekesho hicho. Mwaka 1988, kulikuwa na sinema iliyokuwa ikielezea maisha ya Karen, mama mmoja mlowezi mzungu aliyeishi kenya mwanzo wa karne ya 20, kabla ya vita vikuu vya pili. Katika bango lasinema hiyo, iko picha ya Karen (actress Meryl Streep) na mtu mwingine wamekaa katika mandhari kama hayo na pozi kama hizo. Kama ungeliona bango hilo ndipo ungeliweza kuelewa joke hiyo. Mimi nimeiona sinema hiyo na kusoma kitabu hicho Out of Africa. I think that the poster is so funny.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2010

    Anonymous wa kwanza, angalia hii link, labda ataelewa. It was a joke, very funny joke.

    http://1000filma.files.wordpress.com/2009/09/out_of_africa.jpg

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2010

    Anony wa kwanza, ina maana ya kuwa timu ya England ilikwenda kula good-time Africa na siyo kucheza kandanda ya ukweli.

    Kama wengine walivyosema ina maanisha utani walikwenda kuona mbuga za wanyama, fresh-air n.k vitu vinavyokosekana ulaya.

    Hiyo 'joke' ina base from the european perspective kuwa England ilikwenda Afrika kuvumbua utajiri na raha ambazo hazipo uilaya.

    Mdau
    Shimoni Kariakoo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2010

    Haya jamaa kadandia treni kwa mbele.I really wanna who made that sh*** it's hilarious.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 01, 2010

    Labda unayeelezea hayo hapo juu kuwa this is funny ndio umeleta hii habari. Ungeleta na picture ya kwanza na hii tuone tofauti yake hapo tungesmile pamoja. Sio wote tulisoma hicho kitabu na sio wote have been around that much. It is not funny at all for "the younger us"
    Hata mimi nilivyoiona hii picture nilirudi kwenye worl cup..huku tunaonyeshwa miji ya SA kidogo kidogo. Picha kamili bado wengi wanafikiri ni jungle life..

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 01, 2010

    Anonymous wa kwanza wacha kukurupuka bwana we unawaza mpira tu all the time soma jaribu kutafakari kidogo (umiza kichwa kwa kufikiria kuna kitu zaidi hapo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 01, 2010

    anon wa pili na wewe ujaelewa, hiyo teh teh ! yaani inaonyesha majina ya wachezaji wa timu ya uingereza ya Wyne Rooney, John Terry na kocha Fabia Capello, chini kabisa yuko lampard na wenzake Ni kweli wamecheza hiyo cinema??

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 01, 2010

    point mbili kwa mdau wa kwanza
    1. umekosa point yote ya joke ya picha hii
    2. inaonekana huna sense of humour

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 01, 2010

    Nyie wote mnaongelea kitu kimoja lakini hamuelewani...aka ndondo

    By Mandondo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 02, 2010

    Kudadadeki masela mumenifurahisha u'll made my dam day. Kuanzia aliyedandia treni kwa mbele-----

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...