Na Woinde Shizza, Arusha
Wanasiasa mbalimbali waliojitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi mbalimbali za uongozi mkoani Arusha wanadaiwa sasa kutumia mbinu mpya za utoaji rushwa ya kununua bidhaa na kuziacha madukani
Kutokana na mbinu hiyo taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa (TAKUKURU) mkoani hapa imetoa onyo kuhusiana na njia hiyo kwa wote waliojitosa katika kuwania nafasi za ubunge na udiwani
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa TAKUKURU mkoani Arusha Bw.Ayoub Akida amesema kuwa tayari wana ushahidi wa njia zoteambazo zinatumika sasa ikiwmo ya madukani.
Amesema kuwa taasisi yake imelazimika kutoa onyo hilo kabla ya kuanza kuwachukulia hatua za kisheria na kutaja bidhaa zinazotumika kuachwa madukani kuwa ni pamoja na Mchele,Sukari na Unga.
Kamanda Akida alitaja mbinu nyingine kuwa ni kukusanya wanachama katika kumbi za starehe na kuwanunulia vinywaji na vyakula na baada ya hapo kuelekezwa kwa mtu ambazo atawawapa fedha wanazoziita nauli.
Aidha kamanda Akida ameonya tabia ya baadhi ya wanasiasa kukusanya kadi za uanachama toka kwa wanachama na kisha kuwalipia ada kwa masharti ya kuwachagua kuwa wagombea.

Mambo mengine hata hayaingii kichwani! Mtu anaona fahari kusema kuwa "Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa TAKUKURU mkoani Arusha Bw.Ayoub Akida amesema kuwa tayari wana ushahidi wa njia zoteambazo zinatumika sasa ikiwmo ya madukani.
ReplyDeleteAmesema kuwa taasisi yake imelazimika kutoa onyo hilo kabla ya kuanza kuwachukulia hatua za kisheria na kutaja bidhaa zinazotumika kuachwa madukani kuwa ni pamoja na Mchele,Sukari na Unga."
Yaani mnajua wanafanya uhalifu lakini mnawapo onyo kuwa waache kabla hawajachukuliwa hatua! Ndio maana ufisadi unapeta! Wenzenu wanawatia pingu na kuwafikisha mahakamani - hilo ndilo onyo! gademuuu!!
UPUUZI NA UJINGA KWANI KATIKA KUTENDA UHALIFU HAKUNA SCOND CHANCE MWIZI AKIIBA AKAMATWE APELEKWE MAHAKAMANI. ATI UNAWAPA ONYO!!!!!! OTHERWISE WEWE UNATAKA UMAARUFU HAPA NA UNACHOSEMA SI KWELI KAMA UNAUSHAHIDI KWA NINI USIWAKAMATE NA SHERIA ICHUKUWE MKONDO WAKE MIMI NINGEKUWA MWAJIRI WAKO NINGEKUFUKUZA KAZI MARA MOJA
ReplyDeleteNINGEKUWA KIKWETE/HOSEA HUYU KAMANDA HANA KAZI IMMEDIATELY.HAWEZI SEMA ANAJUA UHALIFU UNAOENDELEA AND THEN ANASUBIRI KUTOA ONYO KWANZA,THIS IS ANOTHER POLITICS ON SENSETIVE AND FROM IMPORTANT LAW INFORCEMENT AGENT,REMEMBER THAT YOU ARE NOT A POLITICIAN,YOU ARE A LAW INFORCER DONT JUST RUSH TO THE MEDIA AND SPEAK CRAP.OFFICIALS LIKE THIS KAMANDA SHOULD BE FIRED IMMEDIATELY AS THEY ARE CONSUMING TAX PAYERS MONEY AND DOING NOTHING.THIS IS REALLY CRAP AND NAIVE STATEMENT
ReplyDeleteTeh teh teh teh wakati ule walikua wagombea ni wa chama kimoja mbona mambo haya yalikua sana tu lakini hamna aliyesema kitu? Leo kete inapinda ndio mnaamka. Wagombea wa zamani wote walikua ni wa chama kimoja na waliwanunulia sana kanga, mafuta na sukari watu. Walikua wanakuja na magari ya nguvu na vibwebwe na vitisho kibao kule vijijini na hakuna aliyekua anasema kitu. Leo vyama vingi na wagombea wa vyama tofauti nao wameamka wanajua bila mkono wa heri hapa hapatakalika. Na yote hayo wamejifunza kutoka kwa ma pro na wengine walikua baba zao sasa mnaanza kubwata bwata.....The chickens are coming home to roost
ReplyDelete