Biashara Kutoka chuo kikuu cha John Moorse university cha Liverpool


in Public Health kutoka chuo kikuu cha Oxford University


kula nondozzz yake ya Masters ya
Advanced Distributed Systems with Distinction
chuo kikuu cha University of Leicester Uingereza

anajiunga na wanafamilia kumpongeza binti yake Twalane
baada ya kula nondozzz yake ya Masters in
Mathematics chuo kikuu cha Leicester University

(mwisho kulia) na katikati ni mwalimu Sally
Dada Jane amepozi kwa majigambo akiwa
ndani ya joho baada tu ya kulamba nondo chuo kikuu cha Leeds University.
Asalaam Aleykum,
Asalaam Aleykum,
Kaka Michuzi na wadau wote wa globo hii ya Jamii. Hapa Leeds ni furaha tupu ya kumpongeza Shemeji yetu na dada yetu Jane Luther Nanza (Mrs. Sultan Nasoro) kwa kutunukiwa nondozzz ya MSc Public Health - Health Promotion kutoka Chuo Kikuu cha Leeds Metropolitan university.
Hongera kwa kila mmoja aliyefanikiwa kupata nondoz hamali na chuo chochote pale duniani.
ReplyDeleteKumekuwa na watu wengi wanaokula nondoz nchini tanzania na nje ya nchi, wachache wanaleta taaifa zao hapa na wengi tunawajuwa ambao hawaleti taarifa zao, ikiwa mimi mwenyewe ni mmoja wa wale waliokula nondoz mwaka jana hapa uk.
Suali nitakalo kuuliza ni jee kwa wale ambao wamerudi nyumbani baadaya kula nondoz zao wameonaje au wame experience nini juu ya kutafuta ajira?
Nadhani kuna haja ya kuwepo na mjdala wa upatikanaji wa ajira nyumbani au ni kubaki ughaibuni.
ahsanteni sana.
abi seif
Big up Mogus kwa kufuata Nyayo za kina Dada. What an achievement!!
ReplyDeleteMmependeza sana hasa Binti Mwinyi na Dr.Khadijah Mashallah
HONGERA SANA BINTI MIGIRO
ReplyDeleteHongera aunt Nanza Mungu akujalie na akuziishie.
ReplyDeleteHongera saaaaaaaaaaaana dada yangu Zuhura sapi keep it up my best manamba hahaha raha jipe mwenyewe ukingojea kupewa jua litatua hahahaha.
ReplyDeletekaka Abi Seif..
ReplyDeletehusikatishe tamaa wape moyo zaidi wa kuweza kujipanga na kurudi home mimi mwenyewe nilikuwa huko huko UK na nimepata nondoz huko na sasa niko nyumbani na nina kazi nzuri tena niliyoisomea, nilipata kazi mapema tu kwa kuapply bila kumjua mtu, wala kutoa ongo.
hongereni saaaana hiyo ndo safi mmeenda ulaya kwa shughuli ya ukweli kula nondo, hongereni mnoooooooo
ReplyDeleteBaba kaharibu sura ya mtoto.
ReplyDeleteWewe Anonymous mambo ya sura yanahusu nini?? Hapa hatuongelei sura bali tunawapongeza WaTZ wenzetu kwa juhudi zao sasa wewe unaleta mambo ya sura.
ReplyDeleteHebu na wewe weka sura yakoau ya wanao tuzijudge.ACHA WIVU NA ROHO MBAYA
annon Thu Jul 22, 10:47:00 AM hahahahahaaa umeniwacha hoi
ReplyDeletejamani mkwawa mko juuuu,ale muyawe beee
na nimempenda uyo dada aliyemaliza PH Oxford duuuuh dada safi sana...
karibuni tujenge nchi wether nje au ndani kote inawezekana
huyo wa oxford naona akili imetulia sana maana mpaka kupata nafasi ya oxford
ReplyDelete