Hao ni wadau wa ukerewe mara baada ya kulamba nondozz zao za MSc in Network centred computing at Chuo Kikuu cha University of Reading. Wapili kutoka kulia ni mdau Ibrahim Sultan and wa pili kutoka kushoto ni mdau Robert "Zungu" Wambura wakiwa na mabesti wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hongereni kina kaka.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    HONGERENI SANA ZUNGU NA IBRA KWA KUKAMILISHA HIO SHUGHULI PEVU....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    Hakuna chuo kikuu cha University of Reading kuna chuo kikuu Reading...Hatiamye ndoto zimekamilika...hureeee welcome to the club la kujenga Tanzania au unabaki hapo kubeba box

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    Khukuri...Campisi.....tupo pamoja

    ReplyDelete
  5. Swali, je mpop tayari kurudi nyumbani kuijenga nchi na kuugawa ujuzi wenu kwa vijana wa nyumbani?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2010

    KWA NIABA YA THE FORMER KIUTASA-KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY TANZANIA STUDENT ASSOCIATION TUNAKUPA HONGERA SANA KWA KULA NONDOZ KAKA MWILI BONGE.....MUNGU AKUSAIDIE UPATE KAZI MAPEMA SANA.....SISI PIA TUNAKUJA KWA KASI NA SOON TUTAPATA NONDOZ....BIG UP

    WADAU KIUTASA...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2010

    Congrats Ibra...Its an achievement.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...