ankal akila konozzzz na wadau wa hoteli ya serena usiku wa kuamkia leo alikokuwa kwenye mnuso fulani hivi. ankal anafarijika mno kuona wadau hawa wa serena ya zenji wanaendeleza libeneke la globu ya jamii kwa kwenda mbele. kila saa hawakosi kuperuzi. asanteni wadau...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2010

    wapi chacha?????????????tulikua wote chuoni

    ReplyDelete
  2. Charles naona unauza nyago kaka,.teheteheeee

    ReplyDelete
  3. MAMA MIA, WEKA WAKA NANI KAONA, MZEE CHALZ NAONA KAMA KAWA UNACHIA MATABASAM MTU WANGU,
    ANGALIA HUYO ANKAL ANAKULA MTU WANGU USIMPELEKE SEA FOOD ATAMALIZA KILA KITU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...