COUPER DECALER kutoka IVORY COAST na kitu cha Aladji kutikisa ndani ya viwanja vya Lidaz Club.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. unajua huu wimbo ni wa long sana sema ni mzuri sana

    ReplyDelete
  2. mziki hamna humo

    ReplyDelete
  3. Mama WatotozAugust 05, 2010

    Yaani wamekosa wanenguaji tu hapo, watupe kazi ya kucheza wabongo hapo waone kazi. Kipaji hicho mbona tunacho!

    ReplyDelete
  4. Kina dada wameniangusha kabisa ila huyo kaka anavyonengua ni hatari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...