Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akisaini kwenye kitabu cha ubalozini hapo tayari kwa kuanza kazi rasmii.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu ambaye yupo nchini Uingereza kwa shughuli za kikazi.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe akipokelewa na wafanyakazi wa ubalozini hapo.
akisalimiana na baadhi wa wafanyakazi wa ubalozini hapo pindi alipokuwa amewasili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KUULIZA SI UJINGA
    ETI HUYU PITA KALAGE ALISOMA USAGARA SEKONDARI TANGA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...