Bungeni ambacho kimechukua nafasi ya kiti cha kwanza
kilichotolewa na Bunge la Uingereza
Kiti cha Spika cha kwanza cha Spika ambacho kilitolewa kama zawadi na Bunge la Uingereza (House of Common) kwa Bunge la Tanganyika mwaka 1962 mara baada ya Uhuru. Kiti hiki kimetumika nchini mpaka mwaka 2005
Mpambe wa Bunge Koplo Juma Simango akiwaeleza wananchi alama mbalimbali zilizopo kwenye kiti cha Spika pamoja na Joho lake (lililotundikwa) maana yake na namna zinavyoashiria katika vifaa hivyo vya Bunge.
Wananchi wa Mkoa wa Dodoma waliofika katika Banda la Bunge kwenye maonyesho ya nane nane wakisoma kwa makini baadhi za micha za matukio ya Bunge enzi za Ukoloni. Picha hizo zinaonyesha Bunge la Tanganyika na baadhi ya wabunge wa Bunge hilo.
Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge.
Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge.
Hilo ndiyo joho lililonunuliwa Uingereza kwa paund 6,000. Wakati designers wa Tanzania wangeshona joho la namna hiyo hiyo kwa paund 100 au chini.
ReplyDelete