Home
Unlabelled
bei ya madafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BOT (Indicative rates?)4/Aug/2010 (USD)
ReplyDeleteBuying 136,882.48
Selling 139,676.00
Tunashukuru kupatiwa taarifa ya pesa yetu ya nchi, ila naomba hao watu wa Karafuu Bureau de Change waandike vizuri kwenye ubao badala ya Swaziland waandike Switzerland.
ReplyDeleteHalafu kabla ya kutuanika uko duniani ingekuwa vizuri ukahakikisha kama tumejifunika vizuri.
Shilingi oyee!!
jamani! mbona dafuzzz linadidimia namna hii??? Au kwasababu watu wanakimbia kwajili ya uchaguzi?
ReplyDeleteRAIS Jakaya Kikwete alianza rasmi mbio za kutetea nafasi yake ya urais huku akiboresha kaulimbiu yake ambayo sasa inakuwa Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi tofauti na mwaka 2005 ambapo aliongozwa na kaulimbiu ya Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya...yani ikifika 2015 shilingi kwa dollar itakuwa double,.kubabek!
ReplyDeletemdau wa 12:31pm kwa kuchangia tu , hao karafuu pia wamekosea Austalia badala ya Australia na VAE badala ya U.A.E lakini pengine nimekosea mimi labda hizo nchi zipo sayari ya Mars.
ReplyDeleteBwana Michuzi Tunashukuru sana kwa taarifa hzi za bei ya madafu. Tunaomba kama inawezekana iwe inatolewa kila wiki kwani zisaidia sana kwa wale wanaoishi nje ya Tanzania
ReplyDelete