
Vodacom makes getting online even more affordable with the best browsing rates ever. It continues to offer the most cost-effective, reliable and easy-to-activate options for consumer internet access, making it simply the best, better than all the rest.
Customers’ choices range between new super low, pay-as-you-go rate of 120 Tanzania shillings per MB or volume bundles from as little as 2,000 Tanzania shillings per month for 50MB or unlimited access at 10,000 Tanzanian shillings for seven (7) days on Internet Bomba.
Suffice to state that no other can beat such an offer. For more details and purchases visit the nearest Vodashop.
That is very good hebu nielewesheni hizi moderm zinaweza kutumika huko vijijini au ni kwa watu walio Dar tu?
ReplyDeletemimi ninayo, zinatumika mahala popote tza ili mradi pawepo na mawasiliano ya vodacom, ni nzuri kwa kweli ila voda wako ki biashara zaidi, kuna siku inakuwa na kwikwi kila ukifungua haifanyi kazi.
ReplyDeletetatizo jingine huwezi kufungua video za kwenye net iko slow sana, ila kwa news na e-mail bila kusahau chating inapeta kwa kweli.
Pamoja na cable kutua bongo inaonkena internet bado ni ghali sana bongo. Nimepiga mehesabu ya haraka haraka kama unataka 5GB itakugharibu kama sh. 600,000 ambayo ni sawa sawa na pounds around 300. Nina dongle la 5GB kwa pounds 14.99 kila mwezi.
ReplyDelete'Get a new USB Modem for only 75,000 Tanzania shillings from Vodacom Tanzania WITH 500MB internet usage for FREE!'
ReplyDeleteSo what is free, the USB modem or internet usage? What is the 75,000 for?
(US Blogger)
Anony 01:12:00 AM, bei za internet hapa bongo sio juu kihivyo. Hizo bei ambazo umetaja ni za zamani, sasa hivi vodacom bundle ya 5GB unapata kwa sh.140,000 sio sh.600,000. Hizo ni kama pounds 70. Tangia mkonga (submarine cable) wa seacom ufike bongo bei zimeshuka sana....na sasa hivi kuna mkonga mwingine umeshafika, so bei zitashuka zaidi(price wars). Inshallah baada ya miaka michache tukipata angalau mkonga mwingine bei zitashuka mpaka ziwe kama hizo za uingereza. Na bei nilizotaja ni za vodacom, lakini watu wenye bei poa ni sasatel, modem yao inauzwa kwa shs.69,000 then kwa mtu wa kawaida unaweka 1GB kwa sh.40,000. Mimi ni mtumiaji mkubwa wa internet kwahivyo ninaweka unlimited kwa sh.450,000. Ina kasi mno lakini kwa sasa mtandao upo Dar peke yake. Kwasababu hiyo nimenunua pia vodacom ili niweze kutumia safarini.
ReplyDeleteAnony 11:44:00 PM, speed ya internet inategemea na sehemu yenyewe ulipo. Kama uko kwenye eneo lenye mtandao (coverage) wa 3G...speed inakuwa kasi mno! mimi hua naangalia video na kudownload movie bila shida. Mtandao wa 3G unapatikana kwenye miji michache tanzania, bado voda wanaendelea kuusambaza. Ukienda nje ya mtandao wa 3G speed itashuka lakini email na chatting utafanya bila shida.
mbona vodafone n not com
ReplyDeletevodacom wako kibishiara zaidi pamoja na mambo ya mkongo na wao kuwa kampuni iliyowekeza zaidi katika DATA lakini hawana unafuu wowote wana tamaaa hawa jamaa hujawahi ona, fanyeni 5000/= kwa unlimited download ndio tutajua mnajali kikweli
ReplyDeleteHizo moderm ni chip kiana! Ila mitandao ya simu inabidi ifike mahali zipunguze izo rate per 1MB kwa wateja,cz ziko juu sana kukompare na nchi nyngn.Kwa mtanzania wa kawaida hawezi kulipia,few MB a lot of money hadi inaboa! Tunajua mpo after bussness mbn mmeweza kpngz rate kwa air time mtashindwaje kwa upande wa internet.Hizo promosheni zina masharti kibao.Am sure ata mkipunguza bei faida mtapata nyng tu!
ReplyDeleteMichuzi(misupu) usnbnie nirushie iyo!
Genius wa kitaa
Wow! unalipa shs 450,00 kwa mwezi au kwa mwaka? Kama ni kwa mwezi you must ne a fisadi bwana. Mtu wa kawaida ataweza vipi kulipa 450,000. Mimi hapa mshahara wangu ni around $79,000 bila overtimes kwa mwaka na nisinge kubali kuweka internet ya $450 kwa mwezi...
ReplyDeleteHow much do you real get paid per year? Be honesty na unafanyia kazi wapi???
Nilinunua moja ya Sasatel mwezi wa sita na kusema kweli ilikuwa safi. Hii inakamata mitandao ya Voda, Tigo na Zain na haina usumbufu. Bei 60,000 Tsh na niliitumia kwa mwezi mzima bila matatizo. Hata niliyemwachia anasema haijampa matatizo
ReplyDeleteNawashangaa wanaosema voda wako kibiashara! Kwani wanafanya nini? si biashara? Kila mfanya biashara huwa anatafuta faida.
ReplyDeleteHapa wabongo sijawaelewa
(US Blogger) I thought you were smarter than that.
ReplyDeleteThe message states: 'Get a new USB Modem for only 75,000 Tanzania shillings from Vodacom Tanzania WITH 500MB internet usage for FREE!
Do not tell me that you did not see the WITH in capital letters. Why would you want to go and make a fool of yourself asking questions which have already been answered?
Go and learn English first before you choose to use it in this blog.
To assist your thick head, the modem is sold for 75,000 shillings and after you purchase it, you get 500MB for free. You dig!?
Kandambili
hizo modem zinakuwa na speed gani? i mean za 75000/=
ReplyDelete