Wasanii wa muziki toka nchini Nigeria wanaundao kundi la Blacket tona nchini Nigeria,wakiwasili katika uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere usiku huu tayari kwa shoo kubwa ya Fiesta Jipanguse pale Lidaz klabu. hapa wakishoo lavu mbele ya kamera ya Globu ya Jamii usiku huu katika uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere intaneshno eapoti mara baada ya kuwasili usiku huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona unawaharibia wenzako jina- ni Bracket, sio Blacket- shuwain!

    ReplyDelete
  2. umeme ulikatika nini mbona giza giza!! watu walio zoea ma mji kama NEw York ma taa full ukishuka bongo airport anaweza zani kuna blackout hahahahahhahhaha teh teh teh

    ReplyDelete
  3. Uuuuuuuuwiiiii sema tu mie mambo ya mikusanyiko not reachable but wud hv loved to see them perform especially my favourite songe ada owerri (ft J Martins).. Nitawafuata Lagos!! Bracketiiiii deeeeeey

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...