Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Uhasibu Arusha, Patrick Mwangunga, akisoma ripoti ya Chuo hicho wakati wa hafla ya uzinduzi wa Shahada za Uzamili (MBA), iliyofanyika Jijini Dar es Salam.Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Chuo cha Biashara Arusha, wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa Shahada za Uzamili (MBA) uliofanyika leo ndani ya ukumbi wa mikutano wa DICC Jijini Dar es Salaam.
wageni waalikwa toka sehemu mbali mbali wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sasa inakuwaje chuo kiko arusha na uzinduzi unafanyika dar? inamaana hapo arusha mlikosa eneo?

    kumbe akina EL na KRMG mpo wengi nchi hii, madini yapo tz mikataba inasainiwa uingereza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...