Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha-Rose Migiro akizindua Mradi wa Maktaba Mtandao wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Naibu Katibu Mkuu UN Dk. Asha-Rose Migiro akipata maelezo ya Mradi kutoka kwa Meneja mradi ambaye ni Naibu katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Adam Mambi wa kwanza kushoto, katikati ni Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Profesa Ibrahim Juma. Dk. Asha-Rose akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna (kutoka kulia) kamishna Manyesha, Onel Malisa, Mohamed Ismail, Prof. Ibrahim Juma (Mwenyekiti wa Tume) na Katibu Mtendaji wa Tume Japhet Sagasii.
Dk. Asha-Rose akiwa na watumishi wakongwe wa Tume kutoka kulia Bi. Zidie Mzee na Salum Kaniki.Picha zote na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...