MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM, DK. ALI MOHAMED SHEIN AKIZUNGUMZA NA WAGOMBEA WA NAFASI ZA UBUNGE, UWAKILISHI, NA UDIWANI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA MBUYU MKAVU WETE PEMBA.
WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA, WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA WANANCHI WA MKOA WA KASKAZINI PEMBA, WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM,DK. ALI MOHAMED SHEIN ALIPOKUWA AKIWAHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA NDANI KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA MBUYU MKAVU WETE PEMBA.

MKE WA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM, MAMA MWANAMWEMA SHEIN AKISALIMIANA NA WAJUMBE WA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA ALIPOWASILI KATIKA UKUMBI WA UMOJA NI NGUVU MKOANI PEMBA KWA AJILI YA KUWAHUTUBIA MKUTANO WA NDANI
WAJUMBE WA JUMUIYA YA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA UWT WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MKE WA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM MAMA MWANAMWEMA SHEIN ALIPOKUWA AKIWAHUTUBIA KWENYE MKUTANO WA NDANI KATIKA UKUMBI WA UMOJA NI NGUVU WETE PEMBA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kampeni za CHADEMA ni vipi Michu??
    Tuwekee kidogo yanayojili na kule pia.

    ReplyDelete
  2. Acha kumsumbua ankal chadema wataanza rasmi tar 28 mwezi huu, inavyoonekana kwanza wewe anony wa aug 24 10:55:00 hauko bongo na hautapiga Kura, sasa Chadema inakuhusu nini wakati hata kura hupigi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...