Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM,Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein kushoto, akiagana na Rais wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume, baada ya futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Zanzibar nyumbani kwake Kikwajuni jana jioni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dk.Ali Mohamed Shein kulia, Rais wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume katikati, Waziri Kiongozi Mhe.Shamsi Vuai Nahodha, wakila futari iliyoandaliwa na Makamu wa Rais kwa ajili ya Wananchi wa Zanzibar iliyofanyika nyumbani kwake Kikwajuni jana jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...