Vodacom Miss lake Zone 2010 Fatma Ibrahim kutoka Mara akitabasamu baada ya kutawazwa kuwa malkia wa taji hilo, kushoto ni mshindi wa pili Buduli Ibrahim kutoka Shinyanga, Kulia ni Margreth Godson mshindi wa tatu kutoka Shinyanga. Shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Natiro Annex Capripoint jijini Mwanza
Home
Unlabelled
fatma ndiye vodacom miss lake zone 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sipati picha
ReplyDeleteaffirmative action au ?????
ReplyDeleteAstaghafrullah!! Astaghafrullah!! Astaghafrullah!!
ReplyDeleteDada zetu wa Kiislam mnakwenda wapi!! Mnaipenda saana dunia na stareh zipitazo mkasahau kama kuna Akheraa!!