NA ZAHRA MAJID-MAELEZO
Serikali imelionya Jeshi la Magereza kutoegemea Chama chochote cha siasa wakati wa Kampeni za uchaguzi na kwenye zoezi zima la upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu ili kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea kuwa kisiwa cha Amani na Utulivu.
BOFYA HAPA
kupata habari kamili.
Je wanafunzi wanaotolewa madarasani kwenda kwenye campaign za CCM kule Kirumba mtasemaje? Mbona mnashindwa kuweka "balance" kwenye haya mambo? Tumeona kule Mwanza wanafunzi kibao wamekwenda Kirumba kumfagilia Kikwete...Je Huu ni Uungwana?
ReplyDeletemdau wa Mon Aug 30, 04:42:00 PM
ReplyDeleteLa hasha huu si uungwana.
1. TBC1: inawashabikia wao wapo kimyaa
2. ITV: Inawashabikia wao wapo kimyaa
3. Blog ya nanii pia: wao wapo kimyaa
4. Waandishi hawapewi coupon kama hawashabikii kijani
Leo hii wanalilionya jeshi la magereza ambalo halina infuence yoyote kwani sidhani kama wafungwa wanapiga. Alitakiwa kuonya Polisi na niliowataja hapo juu.
LA HASHA HUU SI UUNGWANA
NI JESHI HILI LA MAGEREZA LINALOTUMIA BENDERA YA CCM? AU LINGINE?
ReplyDeleteKuchakachua maoni ni dalili ya woga na udikiteta.
ReplyDeleteMasha anajihami kwanza toka awe waziri wa mambo ya ndani hajawahi kutembelea magereza nadhani hii ni mara ya kwanza kuwahutubia, Kaka michuzi ndio kahama nao kabisa yeye na ofisi yake, ukiangalia hotuba za wapinzani huwa hawaonyeshi wanapoongea mabmbo ya maana mpaka unashangaa hivi hii script ilirushwa kwasababu gani na siamini kama jamaa huwa wanaongea pumba tu.
ReplyDeleteAny way we have long way to go.
maadili ya waandishi wa habari, wa blog wakiwemo, yanawataka kuandika habari za kujenga na kukemea yanayotendwa kinyume..ukishindwa, si mwandishi yakinifu na ni bubu. ni CHUMVI ILIYOHARIBIKA!!. UMENIMAIND MITHUPU?
ReplyDeletehivi magezreza wanashiriki vipi zaidi ya kupiga kura na kupeperusha kijani na njano?
ReplyDeleteAfande Nanyaro hongera kwa kuwakutanisha wapiganaji wako wa miamvuli. Tafadhali tuondolee hii kero ya majigambo ya askari ako wakiwa uraiani wanaporopoka "Huyu mleteni kwetu tumshughulikie" naamini kwenu hamshughulikii watu bali mnahifadhi watu wanaotafuta haki au waliohukumiwa na haki.
ReplyDeleteMimi yamenikuta Kinyerezi wakati askari wako mmoja aendaye kwa jina la Tom alipotamka hayo amneno mbele ya kikao cha mwenyekiti wa serikali za mtaa wakati tulipofikishana pale kwa mgogoro wa mkataba wa nyumba niliyomjengea Mwalami na kufanya biashara hapo.
namba yangu ni 0713 211 726