Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nakukubali Da Jide uko juu kwakweli, kazi yako na jumbe zilizotulia

    Kila la heri

    ReplyDelete
  2. Huyo Dada anakipaji...No reservation..
    Ila press conference za kibongo...mmh, mnajua wenyewe..yaan made in Bongo for Bongo..ndo upupu gani, ooh mara imba kuna watu wanataka kwenda wap hata swali halijajibiwa..waandishi i am not sure kama mic wanazo..We are not serious..acha tupondwe tu wabongo..ndo maana mie huko nakuja vacation tu..
    Mdau Unyamwezini..

    ReplyDelete
  3. naungana mkono na anoy 4.47pm
    kweli made from bongo for bongo
    hamna waandishi wa habari bongo,hakuna hata cha maana walichommuliza , jide anajitahidi, jamani kaimba na akadai apigiwe makofi na hawajampigia kazi kweli....

    ReplyDelete
  4. Heh jamani huyu dada ni mzuri lakini hiyo press conference???????Ndio nini???Jamani what is that? kweli huyo aliyesema made in bongo for bongolese tu hakukosea.

    Kwanini hawachukui maswali kabla ya kuanza hiyo conference halafu wakayasoma na kuelewa nini kitaulizwa na nini atajibu. You can't say labda mimi nina washabiki wengi? Why ...you need to have a reason for that na wewe mwenye nyimbo nzuri hivyo jibu unalo la kilaini sana... hard work, determination etc etc sio labda mimi ninawashabiki wengi. Wenzenu wakiita hizo press conference wanajua kila swali linaloulizwa na wakiwa wanajibu ni kwa photo op. Sasa wewe unaulizwa swali unachelka what is that.....

    Michuzi post hii wasome waoe makosa yao I really like her...Simjui in personal lakini nyimbo zake nazipenda sana. lakini hii press release mweeee ni upupu tu hapo...
    ....

    ReplyDelete
  5. i agree ananymous hapo juu...ni sheer determination, hard work,preseverence jasho...jasho...jasho...na matunda ndiyo hayo tunayaona...Mungu amempa kipaji na anakifanyia kazi ili kukipa mng'aro unaofaa...ana kitu ambacho wanamuziki wengine wa hapa nchini nna hasa vijana wanapaswa kujifunza kutoka kwake...kila kitu ni hatua na kuhusu hiyo press conference kuna mapungufu yaliyojitokeza kama waliosema hapo juu..cha kufanya huko mbeleni ili kuboreshha hali hiii ni kupitia angalao mafunzo kidogo ya kukuandaa kufahamu nini hasa inatakiwa ufanye unapoandaa vitu kama hiyo press conference... au kuajiri PR wa kufanya kazi hiyo au hata tu kwa kupata ushauri/assistance kutoka kwa watu waliohitimu katika eneo hilo...BIG UP JIDE...UNAKONGA NYOYO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...