Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Geita jana jioni.Maelfu ya wakazi wa mji wa Geita na vitongoji vyake wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo jana mchana
(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Rais anapogombea Urais ina maana nchi inakuwa haina Rais? Naomba mnieleweshe anayeliongoza Taifa wakati wa kampeni na uchaguzi wa Rais ni nani?

    ReplyDelete
  2. mmmmh!!!!misupu.........kweli jana mchana alikuwa Geita?Jana alikuwa Ngara katika kampeni then akamalizia kampeni zake Biharamulo mkoani Kagera na jana hiyo jioni alielekea Mkoa wa Kigoma.........!!!!!Ila yawezekana unajua zaidi>

    ReplyDelete
  3. Kikwete ni DR ya kupewa . Ana degree moja ya economics na amemaliza 1975 . Hana masters wala nini

    ReplyDelete
  4. Michuzi kwanini huweki wapinzani pia , unatusikiliza sisi wasomaji wa hii blog?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...