Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda mfupi baada ya mgombea huyo kuwasili katika uwanja wa michezo wa mjini Mpanda ambapo alihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni jana mchana.Baadhi ya wakazi wa mji wa Mpanda wakimkaribisha kwa mabango mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dr.Jakaya Mrisho Kikwete jana mchana.
(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hivi jamani samahani ingawa si mahali pake.inakuwaje nyuo nyetu vinafunguliwa bila kuwa tayari?yaani wanachuo wanakata wiki mwezi wakisubiri mikopo yao inategemewa wanaishije?hasa wasichana walioko bodi pale mzumbe wanateseka sana hadi wanarudi nyumbani kuombaomba hivi ni lini tanzania itaboresha utendaji wa umma?

    ReplyDelete
  2. Mbona CHADEMA WAMEANZA RASMI KAMPENI LAKINI HUKUWEKA ACHA KUBANA HIVYO MICHIZI

    ReplyDelete
  3. JK oyeeeeeeeeeeeeee kidumu CHAMA CHA MAPINDUZI

    ReplyDelete
  4. Anonymous hapo juu inaonekana hujamjua vizuri michuzi, ndio zake ni ccm huyo hapo bado nanihii maka...
    Tushazoea

    ReplyDelete
  5. kila siku nasikia michuzi anabania comment za watu sasa nimeamini..yangu hujaitoa bwana michuzi..poa tu!! kweli unasubiria kupewa kitu kidogo na kikwete..

    ReplyDelete
  6. ........mmmmh! kaka unaboa na kijani na njano,au jamaa ni wapangaji humu! sawa mtu chake!
    Gongeo!

    ReplyDelete
  7. yaani kwenye blogu unajaza tu picha za mafisadi, aibuuuu!!!

    ReplyDelete
  8. MICHUZI UKITAKA HII BLOG IWE KWELI YA JAMII, BASI USIWE BIAS KATIKA KUTOA FASTA HABARI ZA CHAMA FURANI NA KUZIWEKA KANDO HABARI ZA CHAMA FURANI. IMENIUMA SANA UMEONYESHA ZAHIRI KUTOKUIPENDA KABISA CHADEMA, LAKINI KUMBUKA KUNA WATU UMETUNYIMA HAKI YETU YA KUPATA HABARI ZA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHADEMA. UMENIKERA SAANA.

    NAJUA UTAIBANA HII COMMENT, SIONI TAABU KIKUBWA KAMA UMESOMA WEWE TUU NA TIMU YAKO MAANA NDO NILIOWALENGA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...