Kutokana na ushindi huo JKT wameweza kutetea Ubingwa wao kwa mara ya pili mfululizo.Katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu timu ya Polisi Morogoro walipata zawadi ya kombe dogo baada ya kuitandika Polisi Dar kwa magoli 44-41 na timu ya Jeshi Stars walipata zawadi ya kikombe baada ya kushika nafasi ya pili.
(Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...