Kipindi naingia kwenye ulimwengu wa ICT nilikuwa na maswali mengi mno kichwani,nilipata shida sana kujiweka kwenye mstari kamili wa ICT,ingawa safari bado haijafika ila leo hii ninaweza kujua nini ninakihitaji,ninaweza kujua nini cha muhimu katika kuhakikisha ninafikia malengo husika.Hivyo ni vyema tukashare pamoja ili kuwasaidia wengine ambaoo labdawazaje wapo kwenye hatua kama niliyokuwepo.

ICT kama fani nyingine iina misingi,taratibu na kanuni zake. Wengi wetu kwa kutofahamu au kupuuzia tumekuwa tukitupilia mbali kanuni na misingi ya ICT kitu kinachopelekeakumomonyoka kwa maadi ya ICT vilevile kutoweza kufukia malengo ya ICT katika ufanisi wake,hivyo basi nimefanya majadiliano na wataalamu kadhaa walio nje ya ICT,wote waligusia mambo kaza wa kaza ambayo wangeyafanya kama wangekuwa wana ICT. Kumbuka siku zote watu walio nje ya mchezo ndio wanaojua vizuri siri ya mchezo.
Wengi wao walitamani sana kama wangekuwa kwenye ulingo wa ICT,mmoja baada ya mwiingiine walinena kama ifuatavyo.

kwa undani wa mada hii

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ankal mbona tumebofya habari kushine

    ReplyDelete
  2. ICT nini?
    International Institute for Counter-Terrorism????

    ReplyDelete
  3. You sound like you want to tell us something but you fail to bring it out..
    One problem in your post, you assume that everyone who read this will know what is ICT.
    And the bad of all your article hangs or floats.

    ReplyDelete
  4. Sasa aliyeandika hii makala ni nani mbona jina lako hujaweka.Na nikuulize uliyeandika makala hii ,je umesoma ICT,una diploma au higher professional award ya ICT?.

    Kuna watu wanajiita wana ICT kwa kuwa tu ana certicates za Microsoft Office + Internet alizosoma kwa wiki tano.Baada ya hapo akawa na kablog anajiita mwana ICT.Mtufafanulie je watu hao wanaweza kujiita wana ICT?

    David

    ReplyDelete
  5. Kweli hii makala imeandikwa kama barua kwa mtu mmoja,mwana ICT.Inatakiwa mwanzo wa makala utoe utangulizi ambao unaelezea nini maana ya ICT,nani ni mwana ICT.

    Baada ya hapo unaendelea na {body part} na mwisho conclusion.Hii husaidia msomaji asiyejua ICT wala mwana ICT kuweza kuielewa mada yako.

    ReplyDelete
  6. Ankal Usibane comment hii tafadhali.
    Kwa kifupi hii post haieleweki! ICT, tafadhali nani anaelewa kama hujaelezea. Kwa uzoefu wako ankal hii inaonyosha dhahiri kuwa umechukua mahali ukaitupia. Nia na madhumuni ???? tafadhali ankal tupashe habari kisawasawa nakufagilia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...