Mwenyekiti wa Benki ya KCB Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akimkabidhi zawadi ya begi Bi. Mwanaidi Ibrahim ambaye alikuwa mmoja wa washindi wa michuano ya wazi ya gofu iliyodhaminiwa na benki hiyo katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Gymkhana. Nyuma ni kepteni wa mchezo huo Joseph Tango.
Christina Manyenye Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Jamii KCB wa kwanza kulia pamoja na wafanyakazi wenzie.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...