KIKOSI KIPYA CHA DAR YOUNG AFRICANS.
UKITAKA KUJUA HISTORIA YA VIJANA HAWA WA JANGWANI:
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hayo majezi haya badiliki au kwasababu ya msaada !! kila mwaka hata style basi hiwe tofauti

    ReplyDelete
  2. kama hamuwezi kujipanga fresh mkapiga picha ,uwanjani mtajipanga kweli kufunga magoli

    ReplyDelete
  3. CHAMA KUBWA HILO !! LEO TUNAUA MTU!!!

    ReplyDelete
  4. Hayo Yote Majungu!! Eti Jezi Hazibadiliki Oooh Hamuwezi Kujipanga Kupiga Picha. Mwisho wa yote ni baada dk Tissini Tutaona wanaojua Kujipanga Kupiga Picha na Wasojua kujipanga kupiga picha nani ataloa!! YANGA AFRICA UMOJA WA MATAIFA PIGA HAO WAPORI PORI TATU BILA!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...