Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai,Kamishna Robert Manumba (katikati) akizindua kitabu kilichaoandikwa Sheria na Ukatili wa Kijinsia kilichotayarishwa na Mtandao wa polisi Wanawake Tanzania (TPF-Net) kwa ufadhili wa Jumuia ya Ulaya (European Union).kushoto ni Afisa wa Programu Jumuia ya Ulaya, Bi Serena Bertaina na wa kulia ni naibu Kamishna wa Kanda maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Suleiman kova kwenye Hoteli ya Lamada mjini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Washiriki wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho wakiwemo Maofisa wakuu wa Polisi, Viongozi mbalimbali wa jamii ,Wanasheria ,Viongozi wa Dini na Wakurugenzi wa Polisi kwenye Hoteli ya Lamada mjini Dar es Salaam leo.
picha ya pamoja ya washiriki kwenye Uzinduzi wa Kitabu cha Sheria na Ukatili wa Kijinsia (Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania ) (TPF -Net) kwenye Hoteli ya Lamada mjini Dar es Salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. safi saana maana hawa dada zetu maranyingi huwa hawapandi vyeo bila mabosi kufanya uchafu.

    Hamna kuwa traffic mpaka....
    Hamna kozi ya nyota mpaka.....

    Nao wana waume zao wawapendao, kha.

    ReplyDelete
  2. Huo ndio mwanzo

    Safi sana mwamzo mzuri, sbb TZ unyanyasaji umezidi wa kila aina.

    Tatizo hilo limelenga jikoni penyewe, na wao sasa wapunguze unyanyasafi wa raia, nadhani ndio hatua inayofuata.

    ReplyDelete
  3. Mkuu wa Polisi huna lolote jipya kama unyanyasaji kwa askari wako ndio hawafai hata kidogo.
    Na hapo sema ulikwa unatafuta njia ya kula hela za walipa kodi tuu. Wewe kimekushinda kitu gani kwendakufanyia hako kamkutano kako kwenye vyumba vyako pale Wizara ya mambo ya ndani na kuna nafasi kubwa tu???????
    mnatuboooaa sanaaaa kwa mambo yenu ya ajaaabuuuuuuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...