Kocha mpya wa timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' Jan Paulsen, raia wa Denmark, akizungumza na waandishi wa habari katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar usiku wa kuamkia leo baada ya kuwasili kwa ajili ya kuanza rasmi kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' akichukua nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo aliyemaliza muda wake juni 26 mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Afanye kweli akituchelewesha na siye tumwombe raisi awe mkali kama president wa North Kirea...send the guy to the work camp kama wakienda kucheza michezo ya kimataifa wanafungwa tu

    ReplyDelete
  2. JE///// HAWA WACHEZAJI WA KIBONGO WATAWEZA KUFUATA MAELEKEZO KAMA YANAVYOTOLEWA NA KOCHA? MAANA LUGHA ZINATOFAUTIANA..... MAXIMO ALIKUWA MRENO... WABONGO KISWAHILI.. HAYA SASA,, MAWASILIANO YANAZIDI KUKANGANYIKA...

    LETS SEE!

    ReplyDelete
  3. mwwwwwwweeh!!

    mdau paris
    Msoma nyota

    ReplyDelete
  4. hizo pesa za ma kocha wa kigeni ni bora mnge jengea viwanja basi!! kwani sioni chochote

    ReplyDelete
  5. mmetoa bajaji mmeingiza bajaji !! lol

    ReplyDelete
  6. mbona kocha mwenyewe anaonekana kachoka jamani

    ReplyDelete
  7. I don't believe in hiring foreign coaches. If you trace the history to the teams that have won world cup, the coaches are from within not foreigners. This is sad

    ReplyDelete
  8. KICHWA CHA MWENDAWAZIMU HICHO.....MWINGINE ANAKUJA KUJIFUNZA KUNYOA

    ReplyDelete
  9. 1990's tuliokuwa copenhagen tunamfahamu na uwezo wake tunaufahamu ila kwa hapo kwetu ili afanyekazi vyema lazima amchague super coach MZIRAY awe msaidizi wake vinginevyo atakoma mweeeeee.

    ReplyDelete
  10. HUYU JAMAA SINA IMANI NAE KABISAA KUSEMA KWELI ALAFU ANAONEKANA KACHOKA SANA, TUNGEMPA MUDA WA MIEZI MICHACHE TU AKIBOLONGA TUNAMTIMUA PIA , INAKUAJE AMECHAGUA KIKOSI MAPEMA KABLA YA KUWAJARIBU NAKUONA UWEZO WAO? MIMINAFIKILI HUYU JAMAA ATABOLONGA ZAIDI YA MAXIMO

    ReplyDelete
  11. Sasa huyo Maximo mpya hawa wachezaji aliwaona wapi? Au alipofika tuu TFF wakampa majina ya wachezaji wanaowataka. Huyu mimi naona tutampandisha ndege mapema kumrudisha Copenhagen.Utaalam gan hadi uelewe wachezaji hata hujawaona. au alionana na pweza paul akampa ubashiriwake? tuambiane!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...