aina mbalimbali ya lebo maarufu za mavazi duniani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. NIMEIPENDA SANA LEBO YA KUMI NA MOJA KUTOKA JUU.

    ReplyDelete
  2. Nimeipenda hiyo lebo ya MAVI

    ReplyDelete
  3. Si mchezo naona hapo MAVI JEANS DENIM si mchezo.

    ReplyDelete
  4. Lebo ya kumi na moja kutoka juu ni ya nani, sio mbongo kweli huyo aliyejiamulia kuita hilo jina? hahahaa

    ReplyDelete
  5. Hiyo 'label' kati ya CERRUTI na BIKKEMBERGS ina wateja kweli hapa kwenye soko letu? Sijui....... Afadhali labda ingeitwa MBOLEA ingepata wateja. Michuzi fikisha ushauri huu kwa wahusika!

    ReplyDelete
  6. nimeipenda sana hiyo "MAVI" ingawa bado sijawahi kuiona sokoni!
    Mzee wa PAMBA.

    ReplyDelete
  7. Hizo lebo ni sawa na maji ya mito kuingia baharini!

    Hata hivyo vipesa vyetu tunavyozalisha nchini vinakumbwa na hayo maji ya mito hadi baharini, mithili ya mafuriko ya hivi sasa huko Pakistani hadi yote yaishie Bahari ya Arabia!

    Tukope; tuimarishe kutengeneza vyetu, kama wa-Japani na wa-China!

    Nimeimba sana wimbo huu lakini people are not getting it!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...