

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aaah nicheke mie,mtandao wenye kasi kwi kwi kwi ukiuliza unaambiwa 2Mbps.
ReplyDeleteWadau nisaidieni,
ReplyDeleteHiyo speed kubwa ni ya kipimo gani? Hiyo bei rahisi ni sh. ngapi kwa saa
Sony
Duh! Sio mchezo nimepamisi sana Millenium tower... Jack na wajomba wengine naona mnakula w.less kwa saana
ReplyDeleteBwana,
ReplyDeleteNakubaliana na wewe kuwa hapo huna haja ya kupanga foleni, ila sikubaliani nawe juu ya spidi.
Nikiwa nchini nakumbuka nilikaa hapo na wateja tulibaki kuchanganyikiwa hata ku-sign in kwenye email zetu ilichukua zaidi ya dk 10, na nilishindwa hata ku-download file langu. Lakini mwishowe walidai tulipe pesa kamili.
Mimi, sina ujuzi wa IT, lakini kwa vile walivyoshindwa kutuomba radhi wateja, nilidhani labda wame-slow down mtandao makusudi ili watuibie wateja.
Wazo la wireless ni zuri sana kwa mahali hapo, ila huduma yao si nzuri, hasa upande wa speed ya internet ina "kwi kwi bado".
Mdau (Amsterdam)
Sasa jamani nyinyi mnasahau kama hapa ni bongo any way mtandao ni mzuri sana tu kwa sisi wabongo unatutosha ...
ReplyDeleteNaona huyu mdau wa amstadam amekuja siku nyingi sana mimi niko hapa sasa hivi kwa kweli speed inatisha kabisa kwa kuwa sijawahi kwenda kwenye net za uswahili nikakuta speed kama ya hapa. Kiukweli lazima tukubali kuwa net yao nzuri pamoja na huduma kwa kweli ni tofauti na internet nyingine za bongo
ReplyDelete