mwamuzi wa mchezo wa Simba na African Lyon,Seif Kiange wa Dar es Salaam akimpa kadi ya njano kipa wa African Lyon, Ivo Mapunda baada ya kumchezea rafu mshambuliaji wa timu ya Simba,Nico Nyagawa wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.
Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Mohamed Banka akitafuta mbinu za kumtoka beki wa African Lyon, Aziz Sibo wakati wa mchezo huo.
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Nico Nyagawa akiruka daruga la kipa wa African Lyon, Ivo Mapunda wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.

(Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...