Home
Unlabelled
mambo yalivyokuwa CCM Kirumba wakati wa mkutano wa kampeni wa JK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mchawi wetu kafa!
ReplyDeleteWapinzani wana kazi
ReplyDeleteAnkal Michuzi!
ReplyDeleteMie navyooona mambo wanayoyafanya CCM ni fimbo kali kwa wapinzani hivyo kilichobaki wapinzani ni kutualika siye wenye uzoefu sehemu yalipotokea matukio ya kuangusha vyama endeshashaji tuje tuwasaidie na kuwapa mawazo namna ya kupambana na CCM ila ninachowachukia hawa watu wa upinzani ni kuwa wanaweka sana mbele ruzuku na kusahau kuwa wanatakiwa kupigania haki ma maendendeleo ya walala hoi hapo bongo. Napenda kusema ukweli kama hawa watu wa upinzani wangekuwa watu wa kueleweka tungiwesa kuwasaidia kuingusha CCCM lakini kwa sasa naona hakuna maana kwani wakiingia ndo wataiba zaidi ya washikaji wa JK. Hivyo naona JK aendelee ila akimaliza mda wake lazima Rais atoke kanda ya ziwa na asitoke kwa akina ashomile au sivyo tutaingilia kati kuingusha CCM. Vile vile wabunge kama akina Diallo ndo uwe mwisho wao kama akipata ubunge kwani hakuna lichokifanya kwa wasukuma wenzangu,nieleweni wakubwa wa CCM au sivyo ndo miaka mitano ijayo ndo utakuwa mwisho wenu. Ninasema haya kwa kuwa najiaamini na niwadhamini toka nje ambao wanaoweza kusaidia kuingusha CCM kama yale alioyotokea YUGOSLAVIa. Leo ningependa kusema CCM OYEEEEEEE!
Je, wanafunzi kwenya kampeni ni haki kweli? Wana soma saa ngapi wakati mitihani yao mwaka huu itakuwa mapema zaidi?
ReplyDeleteKWA HIYO WANAFUNZI SIASA NI RUHSA?
ReplyDeleteCCM wamefanya kazi kweli. Kijijini kwetu na vijiji vya jirani akina mama kwa sasa hawafi kabisa kwa matatizo ya kujifungua wote nimekuta wanapata huduma safi kabisa inayotakiwa. Hakuna mtoto hata mmoja anayekufa kwa malaria na magonjwa mengine...sikuwahi kuona hata mtoto mmoja mwenye matatizo ya lishe...watoto wote wana vitabu vya kusoma, kila mtoto anakaa kwenye dawati lake mwenyewe na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba wazee wote wanapata huduma nzuri. Hakuna mtu kumpiga bao mwenzake kila mtu ametosheka na alichonacho...hata ukijaribu kuwa ruswa ya 2,000, 3,000 wanakushangaa kabisa kwa sababu hawana njaa kabisa wote wanafanya kazi kwa bidii. Hongera sana CCM na ninajivunia kuwa MTANZANIA...KWELI MMEFANYA MAMBO MAZURI...CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI CHAJENGA NCHI...
ReplyDelete