Mshindi wa mashindano ya Nane Nane Rally Marijiti Sunvic akiwa anaondoka katika uwanja wa Sunvic ambao mashindano yalianzia na ndipo yaliishia. Mshindi huyu amekuwa akishikilia nafasi hiyo mfultoka mwanzo hadi mwisho. Anayemfuatia ni Gamdust Haji ambaye naye alishiriki mashindano haya lakini kwa bahati mbaya hakuweza kumaliza kutokana na gari yake kupasuka gurudumu katika mashindnao haya na awali alikuwa anashikilia nafasi ya tatu.
Moja ya gari lililokuwa likishiriki mashindano ya magari ya nane nane ralliy ikiwa inanyanyuliwa na wasamaria wema katika eneo la kona ya mbauda mkoani hapa mara baada ya kuingia kwenye Fuso wakati ikiwa inaovateki ilikuwa imebakiza kilometa kama moja kabla ya kufika pointi ya mwisho ya mashindano ya kumalizia. Wote walinusurikana majereha kiasi.
Picha zot te na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...