mgombea mweza wa Profesa Ibrahim Lipumba kupitia tiketi ya CUF, Haji Juma Duni (katikati) akiwa na baadhi ya vingozi wa chama hicho katika mkoa wa Kagera mara baada ya kuongea na waandidhi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho mkoani humo. Kushoto kabisa ni mgombea wa nafasi ya ubunge wa chama hicho wa jimbo la Bukoba Mjini, Christian Kasimbazi na wa mwisho kulia ni katibu wa chama hicho wa manispaa ya Bukoba Swahib Magayane.BOFYA HAPA
upate habari kamili ya


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...